| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea rasmi Rais wa Ujerumani, Mhe. Joachim Gauck katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam. |
| Rais Kikwete akiwa ameongozana na mgeni wake Rais Gauck mara baada ya kumpokea. |
| Rais Kikwete na Rais Gauck wakipata heshima ya nyimbo za mataifa yao ikiwa ni sehemu ya mapokezi ya Rais Gauck. |
| Kikosi cha jeshi kikipiga mizinga 21 kwa heshima ya Rais Gauck |
| Rais Gauck akikagua Gwaride la Heshima |
| Sehemu ya waandishi wa Habari wakiwa kazini |
| Sehemu ya umati wa watu waliofika Ikulu kwa ajili ya mapokezi ya Rais Gauck |
| Rais Gauck akisalimiana kwa furaha na wanafunzi waliofika Ikulu kumpokea |
| Picha ya pamoja |
| Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mama Schadt, Mke wa Rais wa Ujerumani |
| Mhe. Rais Kikwete akimpatia Rais wa Ujerumani, Mhe. Gauck zawadi ya picha ya michoro maarufu nchini ya "Tingatinga" |
| Rais Kikwete akifurahia zawadi aliyokabidhiwa na Rais Gauck |
| Rais Gauck (wa tano kulia) na Ujumbe wake wakati wa mazungumzo rasmi |
| Mazungumzo yakiendelea |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.