Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof.
Palamagamba John Kabudi (Mb) akizungumza na waandishi wa habari kuwaelezea maandalizi ya mkutano wa 18 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi
za Afrika na Nordic unaotarajiwa kufanyika tarehe 7 - 8 Novemba 2019 jijini Dar
es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki, Dkt. Faraji Mnyepe, kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhani Mwinyi.
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.