Naibu
Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas
Ndumbaro (Mb) pamoja na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Balozi Kanali
Wilbert A. Ibuge wamesaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Kenya nchini kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa
Kenya, Daniel Arap Moi aliyefariki 4 Februari, 2020.
|
Naibu
Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas
Ndumbaro (Mb) akitoa salamu za pole kwa baadhi ya wafanyakazi wa Ubalozi wa Kenya
Jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Kenya, Hayati Daniel
Arap Moi
|
Naibu
Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas
Ndumbaro (Mb) akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Kenya Jijini Dar
es Salaam kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Kenya, Hayati Daniel Arap Moi
Katibu
Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, wizara hiyo, Balozi Kanali
Wilbert A. Ibuge akisaini
kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Kenya Jijini Dar es Salaam kufuatia
kifo cha Rais Mstaafu wa Kenya, Hayati Daniel Arap Moi
Naibu
Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas
Ndumbaro (Mb) pamoja na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Balozi Kanali
Wilbert A. Ibuge wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa
Ubalozi wa
Kenya Jijini Dar es Salaam mara baada ya kusaini kitabu cha maombolezo
|
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.