Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika kikao cha 43 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kinachofanyika Geneva,Uswisi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika mazungumzo na Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) Bw. Filippo Grand Mazungumzo hayo yamefanyika katika Makao Makuu ya Ofisi za UNHCR zilizopo Geneva-Uswisi |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiagana na Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) Bw. Filippo Grand mara baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika Makao Makuu ya Ofisi za UNHCR zilizopo Geneva-Uswisi |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara wa Ireland Mhe. Simon Coveney. Mazungumzo hayo yamefanyika katika jengo la Umoja wa Mataifa Kuhusu Haki za Binadamu Geneva,Uswisi |
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara wa Ireland Mhe. Simon Coveney akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) Mazungumzo hayo yamefanyika katika jengo la Umoja wa Mataifa Kuhusu Haki za Binadamu Geneva,Uswisi |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiagana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara wa Ireland Mhe. Simon Coveney mara baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika jengo la Umoja wa Mataifa Kuhusu Haki za Binadamu Geneva,Uswisi |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.