MFA Tanzania

Thursday, March 24, 2016

Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje yaitaka Wizara kusimamia Sera ya Diplomasia ya Uchumi

Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (Mb)kushoto pamoja na Mwenyekiti  wa Kamati ya Bunge ya kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mhe. Balozi Adadi Rajab wa pili kulia na Makamu wake Mhe. Masoud Ali Khamis wa tatu kulia wakiwa katika kikao cha kamati hiyo kinachofanyika Jijini Dar es salaam katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Waziri Mahiga, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dkt Susan Kolimba (Mb.) na Katibu Mkuu wa Wizara, Balozi Aziz Mlima wakifuatilia kikao hichoambapo kamati ilipokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa Wizara. Sambamba na hilo Wajumbe wa kamati hiyo wameitaka wizara kuweka mikakati na kuongeza jitihata zaidi katika kuhakikisha inazitangaza fursa za biashara na uwekezaji zilizopo nchini.
 Sehemu ya Waheshimiwa Wabunge ambao ni wajumbe wa kamati hiyo wakifuatilia mazungumzo.
Sehemu nyingine ya Waheshimiwa Wabunge.

 Sehemu ya Wakurugenzi na  Maafisa wa Wizara wakifuatilia kikao.
 Sehemu nyingine ya Wakurugenzi na Maafisa kutoka Wizarani wakifuatilia kikao


Posted by ForeignTanzania at 9:12 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

ForeignTZ Blog App

ForeignTZ Blog App

Lets connect

Subscribe To Foreign Tanzania News

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments

My Blog List

  • MICHUZI
    RC CHALAMILA ATAKA MACHINGA KARIAKOO KUFUNGUA NJIA
    8 hours ago
  • IKULU BLOG
    Banh Club Nổ Hũ – Đa Dạng Game, Nhận Jackpot Cực Khủng
    6 months ago
  • JUMUIYA IMARA
    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki waadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma
    8 years ago

About Me

My photo
ForeignTanzania
View my complete profile

Followers

Awesome Inc. theme. Powered by Blogger.

Blog Archive

  • ►  2025 (31)
    • ►  May (1)
    • ►  April (5)
    • ►  March (7)
    • ►  February (11)
    • ►  January (7)
  • ►  2024 (341)
    • ►  December (5)
    • ►  November (33)
    • ►  October (40)
    • ►  September (24)
    • ►  August (37)
    • ►  July (22)
    • ►  June (19)
    • ►  May (43)
    • ►  April (21)
    • ►  March (26)
    • ►  February (33)
    • ►  January (38)
  • ►  2023 (368)
    • ►  December (19)
    • ►  November (37)
    • ►  October (44)
    • ►  September (32)
    • ►  August (22)
    • ►  July (20)
    • ►  June (36)
    • ►  May (35)
    • ►  April (31)
    • ►  March (33)
    • ►  February (32)
    • ►  January (27)
  • ►  2022 (481)
    • ►  December (32)
    • ►  November (23)
    • ►  October (49)
    • ►  September (59)
    • ►  August (42)
    • ►  July (55)
    • ►  June (44)
    • ►  May (48)
    • ►  April (33)
    • ►  March (39)
    • ►  February (28)
    • ►  January (29)
  • ►  2021 (333)
    • ►  December (23)
    • ►  November (36)
    • ►  October (39)
    • ►  September (26)
    • ►  August (23)
    • ►  July (30)
    • ►  June (37)
    • ►  May (37)
    • ►  April (20)
    • ►  March (28)
    • ►  February (20)
    • ►  January (14)
  • ►  2020 (247)
    • ►  December (27)
    • ►  November (22)
    • ►  October (15)
    • ►  September (21)
    • ►  August (15)
    • ►  July (18)
    • ►  June (25)
    • ►  May (20)
    • ►  April (7)
    • ►  March (27)
    • ►  February (32)
    • ►  January (18)
  • ►  2019 (378)
    • ►  December (22)
    • ►  November (31)
    • ►  October (33)
    • ►  September (33)
    • ►  August (34)
    • ►  July (24)
    • ►  June (27)
    • ►  May (44)
    • ►  April (29)
    • ►  March (47)
    • ►  February (22)
    • ►  January (32)
  • ►  2018 (354)
    • ►  December (12)
    • ►  November (38)
    • ►  October (33)
    • ►  September (24)
    • ►  August (35)
    • ►  July (19)
    • ►  June (29)
    • ►  May (42)
    • ►  April (48)
    • ►  March (19)
    • ►  February (31)
    • ►  January (24)
  • ►  2017 (276)
    • ►  December (19)
    • ►  November (25)
    • ►  October (20)
    • ►  September (11)
    • ►  August (15)
    • ►  July (26)
    • ►  June (22)
    • ►  May (29)
    • ►  April (20)
    • ►  March (25)
    • ►  February (42)
    • ►  January (22)
  • ▼  2016 (410)
    • ►  December (21)
    • ►  November (38)
    • ►  October (34)
    • ►  September (28)
    • ►  August (42)
    • ►  July (34)
    • ►  June (46)
    • ►  May (35)
    • ►  April (23)
    • ▼  March (44)
      • Ubalozi wa Pakstan nchini waadhimisha miaka 76 ya...
      • MWANADIASPORA MBAROUK RASHID AKABIDHI MSAADA WA VI...
      • Tanzania yapokea msaada wa shilingi bilioni 116.4 ...
      • Serikali ya Tanzania na India zasaini mkataba wa m...
      • Naibu Waziri wa Mambo ya Nje apokea Nakala za Hati...
      • KONSELI MKUU WA TANZANIA JEDDAH AKARIBISHWA RASMI ...
      • Waziri Mahiga aeleza msimamo wa Serikali juu ya u...
      • Balozi wa Tanzania nchini Kenya aomboleza kifo cha...
      • Tanzania na Saudia zasaini mkataba wa ushirikiano ...
      • Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje yaitaka Wizara kus...
      • Waziri Mahiga azungumza na Kundi la Mabalozi wa Af...
      • Naibu Waziri wa Mambo ya Nje afanya ziara Chuo cha...
      • JK aendelea kusuluhisha Mgogoro wa Libya.
      • Mkurugenzi wa Idara ya Asia azungumza na Balozi wa...
      • Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini wafanya Z...
      • Naibu Waziri wa Mambo ya Nje amuaga Mwendesha Mash...
      • INTERNATIONAL ESSAY CONTEST ANNOUNCEMENT
      • Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje yakutana na Uongoz...
      • Mabalozi wa Afrika wampa pole Mhe. Dkt. Kikwete kw...
      • Ujumbe wa JWTZ watembelea Ubalozi wa Tanzania Wash...
      • Waziri Mahiga afanya mazungumzo na Naibu Waziri Ma...
      • Naibu Katibu Mkuu afanya mazungumzo na Balozi wa I...
      • Mawaziri wa Tanzania na Vietnam waeleza mafanikio ...
      • VACANCY ANNOUNCEMENT
      • Rais wa Vietnam amaliza ziara ya kitaifa ya siku n...
      • Rais wa Vietnam atembelea Kampuni ya Simu ya Halotel
      • Rais wa Vietnam atembelea Mamlaka ya Ukanda Maalum...
      • Rais wa Vietnam afungua Kongamano la Pili la Biash...
      • Tanzania isiogope kujifunza kutoka katika nchi zil...
      • Mke wa Rais wa Vietnam atembelea Ofisini kwa Mama...
      • Rais wa Vietnam awasili nchini kuanza ziara ya kwa...
      • Waziri Mahiga akutana na Waziri wa Uingereza wa ma...
      • Balozi Mahiga ala kiapo cha utii katika Bunge la A...
      • Waziri Mahiga afungua Mkutano wa Pili wa Vyama vya...
      • Waziri Mahiga ashiriki ibada ya kumuaga Marehemu B...
      • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
      • Rais wa Vietnam kufanya ziara ya kwanza ya kitaifa...
      • TANZIA
      • EU Head of Delegation to Tanzania pays a visit at ...
      • WAKUU WA NCHI WA EAC WAFANYA UZINDUZI UJENZI WA BA...
      • Joint Communique of the 17th Ordinary Summit of th...
      • TANZANIA MWENYEJI WA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI WANA...
      • Ujumbe wa Vietnam wakutana na Naibu Katibu Mkuu wa...
      • Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa UNESCO kwa upande wa A...
    • ►  February (30)
    • ►  January (35)
  • ►  2015 (420)
    • ►  December (34)
    • ►  November (30)
    • ►  October (44)
    • ►  September (44)
    • ►  August (29)
    • ►  July (27)
    • ►  June (38)
    • ►  May (28)
    • ►  April (44)
    • ►  March (37)
    • ►  February (36)
    • ►  January (29)
  • ►  2014 (350)
    • ►  December (28)
    • ►  November (16)
    • ►  October (35)
    • ►  September (31)
    • ►  August (32)
    • ►  July (47)
    • ►  June (33)
    • ►  May (31)
    • ►  April (26)
    • ►  March (21)
    • ►  February (17)
    • ►  January (33)
  • ►  2013 (493)
    • ►  December (27)
    • ►  November (53)
    • ►  October (45)
    • ►  September (50)
    • ►  August (47)
    • ►  July (47)
    • ►  June (33)
    • ►  May (47)
    • ►  April (32)
    • ►  March (47)
    • ►  February (31)
    • ►  January (34)
  • ►  2012 (342)
    • ►  December (21)
    • ►  November (28)
    • ►  October (44)
    • ►  September (70)
    • ►  August (34)
    • ►  July (64)
    • ►  June (21)
    • ►  May (4)
    • ►  April (16)
    • ►  March (17)
    • ►  February (13)
    • ►  January (10)
  • ►  2011 (61)
    • ►  December (16)
    • ►  November (31)
    • ►  October (7)
    • ►  September (5)
    • ►  August (1)
    • ►  July (1)