Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani kueleza mafanikio yaliyopatikana kutokana na ziara ya Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam Mhe. Truong Tan Sang. Mkutano huo ulifanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Balozi wa Tanzania nchini China ambaye nawakilisha na Vietnam, Mhe. Balozi Abdulrahman Shimbo pamoja na Msaidizi wa Waziri Mahiga, Bw. Adolf Mchemwa wakifuatilia Mkutano.
Viongozi na Maafisa kutoka Serikali ya Vietnam wakifuatilia Mkutano.
Sehemu wa waandishi wakifuatilia Mkutano.
Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano ya Serikali na Wasemaji katika Wizara za Mambo ya Nje kutoka nchini Tanzania, Bi. Mindi Kasiga (katikati) na Vietnam Bw. Li Hai Bihn (kushoto) pamoja na Mkalimani kutoka nchini Vietnam wakifuatilia Mkutano.
Mhe. Waziri Mahiga na Waziri Nguyen wakipongezana mara baada ya kumaliza Mkutano.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.