Saturday, September 12, 2015

Umoja wa Mabalozi wa nchi za Kiafrika nchini Tanzania umempongeza Balozi Liberata Mulamula

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula (aliyesimama), akizungumza na Mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao hapa nchini alipokutana nao kwa hafla ya chakula cha jioni walichomwandalia kwa ajili ya kumkaribisha na kumpongeza
kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Kiongozi wa Mabalozi ambaye pia ni Balozi wa Congo nchini Mhe. Juma Alfan Mpango akizungumza kwenye hafla na Mabalozi wa Afrika nchini. 
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Mulamula akisalimiana na Balozi wa Congo nchini, Mhe.  Mpango (Kushoto).

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.