| Rais Mstaafu, Mhe. Benjamin Mkapa akiongea kwenye mkutano huo. |
| Rais Mstaafu, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete naye akiongea katika mkutano huo |
| Sehemu ya Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini wakifuatilia mkutano |
| Mhe. Rais Mstaafu Kikwete akifuatilia mkutano, kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Elisha Suku. |
| Wajumbe wa mkutano wakisikiliza hotuba za ufunguzi wa Mkutano wa IDLO |
| Sehemu nyingine ya ujumbe wa mkutano ambao ni Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini |
| Mhe. Mkapa akibadilishana mawazo na baadhi ya wajumbe wa mkutano mara baada ya shughuli ya ufunguzi kukamilika |
| Kutoka kulia ni Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Bi. Irene Khan na Mhe. Benjamin Mkapa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukamilika kwa shughuli za ufunguzi |
| Picha ya pamoja kati ya Mgeni Rasmi, Mhe. Kairuki na wajumbe wa mkutano |
| Mhe. Kairuki akifafanua masuala mbalimbali kuhusu mkutano wa IDLO mbele ya waandishi wa habari. |
Picha na Reginald Philip
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.