|
Rais
wa Jamhuri wa Burundi Mheshimiwa, Evariste Ndayishimiye ameondoka nchini kurejea
Burundi baada ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jukwaa la Mfumo wa Chakula
Afrika (AGRF) uliofanyika nchini kuanzia tarehe 5-8 Septemba 2023
| | |
|
Rais
wa Jamhuri wa Burundi Mheshimiwa, Evariste Ndayishimiye akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Mhe. Alberet Chalamila katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam |
|
Rais
wa Jamhuri wa Burundi Mheshimiwa, Evariste Ndayishimiye akiwaaga viongozi wa mbalimbali waliofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwa ajili ya kumuaga tayari kwa safari ya kurejea
Burundi baada ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jukwaa la Mfumo wa Chakula
Afrika (AGRF) uliofanyika nchini kuanzia tarehe 5-8 Septemba 2023 |
|
Rais
wa Jamhuri wa Burundi Mheshimiwa, Evariste Ndayishimiye akiwaaga
viongozi wa mbalimbali waliofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere kwa ajili ya kumuaga tayari kwa safari ya kurejea
Burundi baada ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jukwaa la Mfumo
wa Chakula
Afrika (AGRF) uliofanyika nchini kuanzia tarehe 5-8 Septemba 2023. |
|
Rais
wa Jamhuri wa Burundi Mheshimiwa, Evariste Ndayishimiye akiwa na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde akikagua gwaride maalum katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere kwa ajili ya kumuaga tayari kwa safari ya kurejea
nchini Burundi |
|
Rais
wa Jamhuri wa Burundi Mheshimiwa, Evariste Ndayishimiye (kushoto) akiwa na Waziri wa Madini (kulia) akiwaaga
wananchi waliofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere kwa ajili ya kumuaga tayari kwa safari ya kurejea
nchini Burundi baada ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jukwaa la Mfumo
wa Chakula
Afrika (AGRF) uliofanyika nchini kuanzia tarehe 5-8 Septemba 2023 |
|
kikundi cha ngoma kikitumbuiza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere kwa ajili ya kumuaga Rais
wa Jamhuri wa Burundi Mheshimiwa, Evariste Ndayishimiye kurejea
Burundi baada ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jukwaa la Mfumo
wa Chakula
Afrika (AGRF) uliofanyika nchini kuanzia tarehe 5-8 Septemba 2023 |
|
Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde akiwa katika chumba cha wageni maalum katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakati wa kumsindikiza Rais
wa Jamhuri wa Burundi Mheshimiwa, Evariste Ndayishimiye aliyekuwa akiondoka nchinii kurejea nchini Burundi |
Rais
wa Jamhuri wa Burundi Mheshimiwa, Evariste Ndayishimiye ameondoka nchini kurejea
Burundi baada ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jukwaa la Mfumo wa Chakula
Afrika (AGRF) uliofanyika nchini kuanzia tarehe 5-8 Septemba 2023.
Mhe.Evariste
Ndayishimiye ameondoka nchini kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere (JNIA) wa Dar es salaam na kuagwa na Waziri wa Madini Mheshimiwa
Anthony Peter Mavunde na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila.
Mkutano
wa Wakuu wa nchi wa Jukwaa hilo ulihudhuriwa na Marais kutoka nchi za Kenya,Burundi, Senegal na mwenyeji
Tanzania. Marais walioshiriki mkutano huo ni Mhe. William Ruto wa Jamhuri ya
Kenya, Mhe. Evarist Ndayishimiye wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Macky Sall wa Jamhuri
ya Senegal na mwenyeji wao Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa
Tanzania na Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi Rais wa Zanzibar.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.