| Rais Shen akiwapungia mkono vijana waliokuwa wakipita mbele yake (hawapo pichani). |
| Rais Shen akiwahutubia wananchi wa Zanzibar wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 52 |
| Sehemu ya Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini wakifuatilia matukio mbalimbali wakati wa maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar. |
| Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (kushoto) akisalimiana na Balozi Silima |
Picha na Reginad Philip

No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.