| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Zambia Mhe. Edgar Lungu wakielekea sehemu maalumu ilipoandaliwa dhifa ya kitaifa |
![]() |
| Waheshimiwa wa Marais Wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakielekea sehemu ilipoandaliwa dhifa kitaifa Ikulu, Jijini Dar es Salaam |
![]() |
| Meza kuu wakiwa wamesimama wakati wimbo wataifa ukipigwa |
| Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli akigonganisha glass na Rais wa Zambia Mhe. Edga Lungu kwenye dhifa ya kitaifa |
![]() |
| Rais wa Zambia Mhe. Edgar Lungu akisalimiana na Rais Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Alhaji Ali Hassan Mwinyi |




No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.