Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza baada ya kumvisha Nishani
ya Jamhuri ya Muungano Daraja la kwanza Balozi Liberata Mulamula
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Balozi Tuvako Nathaniel Manongi
Nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza.
|
![]() |
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipeana mkono na Mhe. Tuvako Nathaniel Manongi
baada ya kumtunuku Nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha Nishani
ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili, Balozi wa Tanzania nchini Burundi Balozi Rajab Hassan Gamaha.
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza baada ya kumvisha Nishani
ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili Balozi Rajabu Hassan Gamaha
|
| Wakuu wa Vyombo vya Usalama Nchini nao wakishuhudia utolewaji wa nishani za Jamhuri ya Muungano |
| Mabalozi mbalimbali wanao ziwakilisha nchini zao nao wkiwemo katika ukumbi kwakushuhudia utolewaji wa Nishani hizo |
| Kikundi cha Bendi ya Polisi kikitoa burudani kwa wageni waalikwa wakati wa utolewaji wa nishani |
| Kaimu Mkurugenzi Chuo cha Diplomasia Dkt. Bernard Archiula (kushoto) akifuatilia kwa makini utolewaji wa nishani. |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho kikwete akiwa amesimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa mara baada ya kumaliza utoaji wa Nishani. |
| Watunukiwa Nishani, Wakuu wa vyombo vya Usalama na wageni waalikwa wote wakiwa wamesimama kwa pamoja wakiimba wimbo wa Taifa |
| Balozi Mulamula akipongezwa na Dkt. Salim Ahmedi Salim kwa kutunukiwa Nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la kwanza |
| Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi akimpongeza Balozi Mulamula kwa kupokea Nishani ya Jamhuri ya muungano Daraja la kwanza. |
| Rais Mstaafu Mwinyi akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Mulamula pamoja na ndugu waliokuja kumsindikiza wakati wa upokeaji wa Nishani |
| Balozi Mulamula (Wa pili kulia), Balozi Manongi wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi waandamizi wa vyombo vya usalama nchini. |


No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.