Thursday, March 14, 2013

Mkurugenzi wa Mashariki ya Kati azungumza na Balozi Mteule wa UAE nchini

Balozi Simba Yahya, Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akizungumza na Balozi Mteule  wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) hapa nchini, Mhe. Abdulla Ibrahim Al Suwaidi alipofika Wizarani leo tarehe 14 Machi, 2013 kwa ajili ya kuwasilisha  Nakala za Hati za Utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.


Balozi Yahya akiendelea na mazungumzo na Mhe. Al Suwaidi huku Bw. Hangi Mgaka (kushoto), Afisa Mambo ya Nje katika Idara ya Mashariki ya Kati akinukuu mazungumzo hayo.

Mhe. Balozi Mteule  Al Suwaidi akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo yao.

Balozi Yahya akiagana na Balozi Mteule Al Suwaidi mara baada ya mazungumzo yao.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.