| Balozi Mushy akiwa katika mazungumzo na Mhe. Balozi Melrose. |
| Balozi Mushy katika mazungumzo na Balozi Melrose huku Bw. Julian Chandler, Naibu Balozi wa Uingereza akifuatilia mazungumzo hayo. |
| Mhe. Balozi Melrose akimweleza jambo Balozi Mushy wakati wa mazungumzo yao. |
| Balozi Mushy akifafanua jambo kwa Balozi Melrose huku Bw. Chandler(kushoto) na Bw. Amos Tengu (kulia), Afisa kutoka Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa wakisikiliza kwa makini. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.