TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
NAFASI ZA AJIRA KATIKA SEKRETARIETI YA JUMUIYA YA MADOLA,
LONDON, UINGEREZA.
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
inawahamasisha Watanzania wenye sifa kuomba nafasi ya ajira katika Sekretarieti ya Jumuiya ya
Madola, London, Uingereza.
Ajira hizo ni :-
Afisa Msaidizi Programu ya Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini (Assistant Programmes Officer – Monitoring and
Evaluation Unit) na
Meneja Utafiti wa masuala ya Uchumi, Vijana na Maendeleo
Endelevu (Research Manager-Economic,
Youth and Sustainable Development).
Taarifa zote muhimu kuhusu fursa hizo za ajira zinapatikana kwa
kupitia tovuti http://thecommonwealth.org.jobs.
Mwisho wa kutuma maombi ya nafasi hizo
ni tarehe 23 Mei, 2019.
Imetolewa na:
Kitengo cha
Mawasiliano ya Serikali,
Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.