Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.) amesaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Italia nchini, kufuatia kifo cha Waziri Mkuu wa zamani wa Italia Mhe. Silvio Berlusconi kilichotokea tarehe 12 Juni, 2023.
Mara baada ya kusaini kitabu cha maombolezo, Balozi Mbarouk amesema Tanzania inamkumbuka Mhe. Berlusconi kwa kuimarisha uhusiano kati ya Tanzania Italia enzi za uongozi wake.
|
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Italia nchini, kufuatia kifo cha Waziri Mkuu wa zamani wa Italia Mhe. Silvio Berlusconi |
|
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Italia nchini, kufuatia kifo cha Waziri Mkuu wa zamani wa Italia Mhe. Silvio Berlusconi. aliyesimama ni Balozi wa Italia nchini, Mhe. Marco Lombardi |
|
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akitoa salamu za pole kwa Balozi wa Italia nchini, Mhe. Marco Lombardi kufuatia kifo cha Waziri Mkuu wa zamani wa Italia Mhe. Silvio Berlusconi |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.