Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax akisalimiana na Rais wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) Dkt. Alvaro Lario walipokuna kwa mazungumzo katika makao makuu wa Shirika hilo jijini Roma, Italia.
Waziri mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Tax amekutana na kuzungumza na Rais wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) Dkt. Alvaro Lario jijini Roma na kubadilishana mawazo juu ya njia za kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na IFAD ili kuweza kunufaika na miradi mbalimbali ya maendeleo inayoendeshwa na shirika hilo. |
|
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax na Rais wa IFAD Dkt. Alvaro Lario katika picha ya pamoja |
|
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax na Rais wa IFAD Dkt. Alvaro Lario wakiwa katika mazungumzo yaliyofanyika jijini Roma, Italia | Mazungumzo yakiendelea |
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.