|
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Nishati
na Atomiki (IAEA) Bw. Rafael Grossi walipokutana jijini
Vienna, Austria. |
|
Waziri
wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax katika picha na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia
Nishati
na Atomiki (IAEA) Bw. Rafael Grossi walipokutana jijini
Vienna, Austria. |
|
Waziri
wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena
na ujumbe wake wakizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia
Nishati
na Atomiki (IAEA) Bw. Rafael Grossi jijini
Vienna, Austria. |
|
Waziri
wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax akiwa na Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa (DMC) Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Noel Kaganda walipokutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linashughulikia
Nishati
na Atomiki (IAEA) Bw. Rafael Grossi jijini
Vienna, Austria. |
|
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linashughulikia
Nishati
na Atomiki (IAEA) Bw. Rafael Grossi na ujumbe wake walipokutana
na Waziri
wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax na ujumbe wake kjijini
Vienna, Austria. |
|
kikao kikiendelea.
|
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax amekutana na
kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Nishati
na Atomiki (IAEA) Bw. Rafael Grossi jijini
Vienna, Austria .
Katika mazungumzo yao Mhe.
Dkt. Tax amemuhakikishia mkurugenzi huyo wa IAEA kuwa Tanzania itaendelea
kushirikiana na shirika hilo kulishukuru kwa misaada inayoitoa kwa Tanzania
kupitia sekta ya afya ikiwa ni pamoja na kuipatia vifaa tiba na kuongeza idadi
ya wataalamu nchini.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.