FURSA ZA UFADHILI
WA MAFUNZO
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Afrika Mashariki imepokea fursa za ufadhili wa masomo ya muda mfupi kutoka Serikali
ya Singapore kupitia Programu ya Ushirikiano ya nchi hiyo (SCP) na Serikali ya
Israel kupitia Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Israel (MASHAV).
Maelekezo ya kalenda ya kozi ambazo zimetolewa
chini ya ufadhili wa Programu ya Ushirikiano ya Singapore inapatikana kupitia tovuti
yao ya http://www.scp.gov.sg.
Taarifa ya kina kuhusu nafasi za masomo
chini ya ufadhili wa MASHAV inapatikana kupitia tovuti ya https: //mfa.gov.il/MFA/mashav/Courses/Pages/default.aspx.
Sehemu ya kalenda ya kozi chini ya ufadhili wa Programu ya Ushirikiano ya Singaporekwa mwaka
2018 na 2019 ni kama inavyoonesha kwenye jedwali hapa chini.
Na.
|
JINA LA KOZI
|
MUDA WA KOZI KUANZA
|
MUDA WA KOZI KUMALIZIKA
|
1.
|
Maritime Public Leaders Programme
|
12/11/2018
|
16/11/2018
|
2.
|
Public Private Partnerships for
Infrastructure Financing
|
19/11/2018
|
23/11/2018
|
3.
|
Smart Nation: Strategy to
Implementation
|
26/11/2018
|
30/11/2018
|
4.
|
Green Climate Financing
|
03/12/2018
|
07/12/2018
|
5.
|
Integrated Cyber Security
Management
|
10/12/2018
|
14/12/2018
|
6.
|
Investment Promotion and Free Trade
Management-FTAs
|
17/12/2018
|
21/12/2018
|
7.
|
Strategic Foresight: From Insight
to Action
|
14/01/2019
|
18/01/2019
|
8.
|
International Law of the Sea
|
21/01/2019
|
25/01/2019
|
9.
|
Aviation Security Auditing
Techniques and Developing Security Manuals
|
21/01/2019
|
25/01/2019
|
10.
|
Competitive and Sustainable Ports
|
28/01/2019
|
01/02/2019
|
11.
|
Climate Change and Emerging Threats
|
18/02/2019
|
22/02/2019
|
12.
|
Aircraft Accident Investigation
Management
|
18/02/2019
|
22/02/2019
|
13.
|
Strategies to Promote Active Ageing
|
25/02/2019
|
01/03/2019
|
14.
|
International Dispute Resolution
|
04/03/2019
|
08/03/2019
|
15.
|
Aviation Incident Investigation:
Effective Safety Risk Management
|
11/03/2019
|
15/03/2019
|
16.
|
Aeronautical Information
Services/Management-AIS-AIM
|
18/03/2019
|
22/03/2019
|
Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali,
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Dodoma
09 Novemba, 2018
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.