Tarehe 22 Oktoba, 2015 Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege
alipata fursa ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. Prof. Arthur Peter
Mutharika katika Ikulu ya Kamuzu Palace mjini Lilongwe.
![]() |
Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege akipigiwa nyimbo za taifa za Malawi na Tanzania huku akishuhudiwa na maafisa Ubalozi. |
![]() |
Mhe. Balozi Victoria Richard
Mwakasege akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. Rais Prof. Arthur Peter
Mutharika
|
![]() |
Mhe. Balozi Victoria Richard
Mwakasege akiagana na Mhe. Prof. Arthur Peter Mutharika
|
![]() |
Watumishi wa Ubalozi wakiwa na Mhe.
Balozi Victoria Richard Mwakasege nyumbani kwake
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.