| Viongozi wa Serikali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jamhuri ya Kenya na Mkuu wa Mabalozi nchini Kenya wakikata keki katika kusheherekea maadhimisho ya muungano huo. |
| Viongozi pamoja na wageni waalikwa wakisherehekea kwa pamoja muungano wa Tanganyika na Zanzibar. |
| Sehemu ya waheshimiwa mabalozi na Wakuu wa mashirika ya kimataifa wanaowakilisha nchini Kenya wakifatilia hafla hiyo. |
| Sehemu nyingine ya wawakilishi hao nchini Kenya wakifuatilia hafla. |
| Sehemu ya mabalozi wa Afrika wakifuatilia hafla ya maadhimisho ya miaka 54 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. |
| Mhe. Naibu Waziri Namwamba akisalimiana na Mhe. Naibu Waziri Hafidh. |
| Sehemu ya wajumbe wa kamati ya maandalizi, viongozi na wageni waalikwa wakifuatilia hafla ya maadhimisho ya Muungano. |
| Picha ya pamoja |
| Kikundi cha muziki wa taarabu cha Zanzibar Culture group kikitumbuiza. |
| Wahudumu wakihudumia vinywaji kutoka kampuni za kitanzania. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.