| Mhe. Rais Museveni na Mhe. Makamu wa Rais wakiendelea na mazungumzo yao huku Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi akifuatilia. |
Mhe. Makamu wa Rais akiagana na Mhe. Rais Museveni huku Mama Janeth Museveni akishuhudia
|
| Mhe. Rais Museveni akiagana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Kabudi |
| Mhe. Rais Museveni akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Mhe. Dkt. Aziz Mlima |
| Mhe. Rais Museveni akifurahia burudani ya kikundi cha ngoma kilichkuwepo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwa ajili ya kumuaga Rais huyo |
| Mkurugenzi na Mkuu wa Itifaki, Balozi Grace Martin akimsikiliza Balozi wa Uganda nchini, Mhe. Richard Kabonero mara baada ya kukamilisha hafla ya kumuaga Mhe. Rais Museveni kukamilika |
| Wadau mbalimbali waliojitokeza kumuaga Rais wa Uganda Mhe. Museveni. |
| Wadau wengine |
| Wadau kutoka Jeshini nao walikuwepo uwanjani hapo |
| Wadau kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Sekta zingine wakifurahia kukamilisha kazi salama |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.