| Balozi Rangnitt nae akimweleza jambo Balozi Mlima wakati wa mazungumzo yao |
| Mazungumzo yakiendelea. Kulia ni Bi. Tunsume Mwangolombe, Afisa Mambo ya Nje na kushoto ni Afisa kutoka Ubalozi wa Sweden. |
| Balozi Mlima akimpatia Balozi Rangnitt kadi yake ya mawasiliano ikiwa na anuani mpya za Dodoma. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.