| Mhe. Rais Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Balozi Shelukindo. |
| Mhe. Rais Magufuli akimuapisha Luteni mstaafu Paul Ignace Mella kuwa Balozi wa Tanzania nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). |
| Mhe. Rais Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Balozi Mella. |
| Wakurugenzi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakifuatilia hafla ya uapisho. Kutoka kushoto ni Balozi Abdallah Kilima, Balozi Baraka Luvanda na Balozi Innocent Shio. |
| Sehemu ya viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa viongozi na Mabalozi |
| Mhe. Rais Magufuli akimpongeza Balozi Shelukindo mara baada ya kumalizika kwa tukio la kuapishwa. |
| Picha ya pamoja Mhe. Rais Magufuli na Mabalozi mara baada ya kuwaapisha. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.