Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe (kushoto)
akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Morocco, Mhe. Nasser Bourita, baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa mkutano.
Dkt. Mnyepe amemwakilisha Mhe.
Prof. Palamagamba John Aidan Kabudi (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Afrika Mashariki kwenye mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za
Afrika kuhusu maamuzi ya Umoja wa Afrika (AU) kuunga mkono jitihada za
usuluhishi wa mgogoro wa eneo la Sahara Magharibi kati ya Morocco na Saharawi
uliofanyika jijini Marrakech, Morocco tarehe 25 Machi, 2019.
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.